Maonyesho Ya Kilimo
Kwa mara nyingine, wakulima wote katika jimbo ndogo la Mosop wanakaribishwa kwenye hafla muhimu ya washikadau wote katika sekta hii ili kuzungumzia jinsi ya kuboresha ukuzaji wa ngombe wa maziwa kutumia teknolojia na mbinu za kisasa. Karibuni #NandiYabadilika #TugaTai